Matendo 11:26
Matendo 11:26 NENO
naye alipompata akamleta Antiokia. Hivyo kwa mwaka mzima Barnaba na Sauli wakakutana na kanisa na kufundisha idadi kubwa ya watu. Wanafunzi waliitwa Wakristo mara ya kwanza huko Antiokia.