Matendo 1:14
Matendo 1:14 NEN
Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pia walikuwepo wanawake kadhaa, na Mariamu mama yake Yesu, na ndugu zake Yesu.