Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 2:1-2

2 Timotheo 2:1-2 NEN

Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu. Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 2:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha