Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 1:6-7

2 Wathesalonike 1:6-7 NEN

Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi na kuwapa ninyi mnaoteseka raha pamoja na sisi, wakati Bwana Yesu atakapodhihirishwa kutoka mbinguni katika mwali wa moto pamoja na malaika wake wenye nguvu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wathesalonike 1:6-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha