2 Samweli 22:2-4
2 Samweli 22:2-4 NENO
Akasema: “BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba wangu, ninayemkimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu na mwokozi wangu, huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri. “Ninamwita BWANA, anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.