Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 18:9-10

2 Samweli 18:9-10 NENO

Basi ikawa Absalomu alikutana na watu wa Daudi. Yeye alikuwa amepanda nyumbu wake, naye nyumbu alipopita chini ya matawi yaliyosongamana ya mwaloni mkubwa, kichwa cha Absalomu kilinaswa kwenye mti. Akaachwa akiningʼinia hewani, wakati nyumbu aliyekuwa amempanda aliendelea kwenda. Mtu mmoja alipoona hivyo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akiningʼinia kwenye mwaloni.”