2 Samweli 1:12
2 Samweli 1:12 NENO
Wakaomboleza, wakalia pia na kufunga hadi jioni kwa ajili ya Sauli na Yonathani mwanawe, kwa ajili ya jeshi la BWANA na nyumba ya Israeli, kwa sababu wameanguka kwa upanga.