Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 6:17

2 Wafalme 6:17 NENO

Kisha Elisha akaomba, “Ee BWANA, mfumbue macho huyu mtumishi ili apate kuona.” Ndipo BWANA akayafumbua macho ya yule mtumishi, naye akatazama na kuona vilima vimejaa farasi na magari ya vita yaliyowaka moto yamemzunguka Elisha pande zote.