Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 6:3-4

2 Wakorintho 6:3-4 NENO

Hatuweki kikwazo katika njia ya mtu yeyote, ili huduma yetu isionekane kuwa na lawama. Bali tunajidhihirisha kuwa watumishi wa Mungu kwa kila njia: katika saburi nyingi; katika dhiki, katika misiba, na katika shida