Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 3:18

2 Wakorintho 3:18 NENO

Nasi sote, tukiwa na nyuso zisizotiwa utaji, tunadhihirisha utukufu wa Bwana kama kwenye kioo. Nasi tunabadilishwa ili tufanane naye, toka utukufu hadi utukufu mkuu zaidi, unaotoka kwa Bwana, aliye Roho.