Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 11:3

2 Wakorintho 11:3 NENO

Lakini nina hofu kuwa, kama vile Hawa alivyodanganywa kwa ujanja wa yule nyoka, mawazo yenu yasije yakapotoshwa, mkauacha unyofu na usafi wa upendo wenu kwa Kristo.