Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 1:21-22

2 Wakorintho 1:21-22 NENO

Basi ni Mungu atufanyaye sisi pamoja nanyi kusimama imara katika Kristo. Alitupaka mafuta kwa kututia muhuri wake na kutupatia Roho wake mioyoni mwetu kuwa rehani kwa ajili ya kututhibitishia yote aliyotuahidi.