Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 21:12-13

1 Samweli 21:12-13 NENO

Daudi akayaweka maneno haya moyoni naye akamwogopa sana Akishi mfalme wa Gathi. Basi akajifanya mwendawazimu mbele yao; naye alipokuwa mikononi mwao, alitenda kama kichaa, akikwaruza kwa kutia alama juu ya milango ya lango, na kuachia mate kutiririka kwenye ndevu zake.