1 Samweli 10:19
1 Samweli 10:19 NENO
Lakini sasa mmemkataa Mungu wenu, ambaye anawaokoa toka katika maafa yenu yote na taabu zenu zote. Nanyi mmesema, ‘Hapana, tuteulie mfalme atutawale.’ Sasa basi, jihudhurisheni wenyewe mbele za BWANA kwa makabila yenu na kwa koo zenu.”

