Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 4:11

1 Petro 4:11 NENO

Yeyote asemaye hana budi kusema kama mtu asemaye maneno ya Mungu mwenyewe. Yeyote anayehudumu hana budi kuhudumu kwa nguvu zile anazopewa na Mungu, ili Mungu apate kutukuzwa katika mambo yote kupitia kwa Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye milele na milele. Amen.