Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 17:13

1 Wafalme 17:13 NENO

Eliya akamwambia, “Usiogope. Nenda nyumbani ukafanye kama ulivyosema. Lakini kwanza unitengenezee mkate mdogo kutoka vile ulivyo navyo kisha uniletee na ndipo utayarishe chochote kwa ajili yako na mwanao.