Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 7:19-21

1 Wakorintho 7:19-21 NEN

Kutahiriwa si kitu, na kutokutahiriwa si kitu. Lakini kuzitii amri za Mungu ndilo jambo muhimu. Basi kila mmoja wenu na abaki katika hali aliyoitwa nayo. Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. Ingawaje unaweza kupata uhuru, tumia nafasi uliyo nayo sasa kuliko wakati mwingine wowote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 7:19-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha