1 Wakorintho 4:5
1 Wakorintho 4:5 NENO
Kwa hiyo msihukumu jambo lolote kabla ya wakati wake. Ngojeni hadi Bwana atakapokuja. Yeye atayaleta nuruni mambo yale yaliyofichwa gizani, na kuweka wazi nia za mioyo ya wanadamu. Wakati huo kila mmoja atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.


