Min fader förhärligas när ni bär rik frukt och blir mina lärjungar.
Soma Johannesevangeliet 15
Shirikisha
Linganisha Matoleo Yote: Johannesevangeliet 15:8
3 Siku
Utangulizi: Kaa maana yake nini kweli kweli? Meno (μένω) — neno la Kigiriki linalotafsiriwa “kaa” au “baki” katika Yohana 15:1–10 — linamaanisha tu kubaki. Kushikilia mahali pako katika uhusiano. Kutokwenda. Yesu anatumia picha ya tawi linaloungana na mzabibu: bila muunganiko huo, tawi haliwezi kuzaa matunda. Yesu anatukaribisha kubaki tukiunganika — na kuwa katika mstari na anachofanya katika kila kipindi. Hebu tuone jinsi Marta wa Bethania anavyojifunza kukaa.
Siku 5
Katika kifungu hiki, kwanza, Kristo anatuwezesha kuelewa maana ya kubaki ndani yake. Pili, Kristo anatuwezesha kuelewa taratibu zinazochangia kuimarisha kubaki au kukaa ndani yake. Tatu, Kristo, anafafanua alama tatu zinazotutambulisha kama tupo ndani yake.
Siku 7
Kuna nguvu ya kipekee, nguvu inayofufusha ndani yako. Mwinjilisti Reinhard Bonnke amekutolea maandishi ya nguvu kuhusu Roho Mtakatifu na Kanuni za Nguvu zake Roho Mtakatifu. Funzo hili la siku saba litapinga mawazo au fikra zako kuhusu Roho Mtakatifu na
12 Siku
Moja ya maswali ya kawaida kwa watu ambao ni wapya katika kumfuata Yesu ni, “Nifanye nini sasa?” Ina maana gani kumpenda, kumtii, na kuwa sehemu ya jamii ya waumini? Mpango huu wa usomaji unatoa mfumo wa kibiblia wa jinsi ya kuunganisha uhusiano wako wa kibinafsi na Yesu na utume wa kanisa.
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!