1
Sefania 1:18
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Hata fedha zao na dhahabu zao hazitaweza kuwaponya siku hiyo ya machafuko ya Bwana; katika moto wa wivu wake nchi hii yote nzima itateketea, kwani wote wakaao katika nchi hii atawaishiliza wote pia, wakiguiwa na kituko kwa mara moja.
Linganisha
Chunguza Sefania 1:18
2
Sefania 1:14
Siku ya Bwana iliyo kuu iko karibu, iko karibu kweli, inataka kutimia upesi. Uvumi wa siku ya Bwana utakaposikilika, ndipo, naye mnguvu atakapolia kwa uchungu.
Chunguza Sefania 1:14
3
Sefania 1:7
Nyamazeni kimya usoni pa Bwana Mungu! Kwani siku ya Bwana iko karibu, kwani Bwana amekwisha kulilinganya tambiko, akawaeua walioalikwa naye.
Chunguza Sefania 1:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video