Sefania 1:7
Sefania 1:7 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nyamazeni mbele za BWANA Mwenyezi, kwa maana siku ya BWANA iko karibu. BWANA ameandaa dhabihu, amewaweka wakfu wale aliowaalika.
Shirikisha
Soma Sefania 1Sefania 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyamazeni mbele ya Bwana Mwenyezi-Mungu, kwani siku ya Mwenyezi-Mungu iko karibu. Mwenyezi-Mungu ameandaa tambiko, nao aliowaalika amewateua.
Shirikisha
Soma Sefania 1Sefania 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyamaza kimya mbele za Bwana MUNGU; Kwa maana siku ya BWANA iko karibu; Kwa kuwa BWANA ametayarisha dhabihu, Amewatakasa wageni wake.
Shirikisha
Soma Sefania 1