1
Warumi 2:3-4
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Ee bin-Adamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu? Au waudharau wingi wa wema wake na uvumilivu wake na kusubiri kwake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvutia toba?
Linganisha
Chunguza Warumi 2:3-4
2
Warumi 2:1
KWA hiyo, ee mtu uhukumuye uwae yote, huna udhuru; kwa maana katika hayo uhukumuyo mwingine wajihukumu nafsi yako; kwa maana wewe uhukumuye unafanya yale yale.
Chunguza Warumi 2:1
3
Warumi 2:11
kwa maana hapana upendeleo kwa Mungu.
Chunguza Warumi 2:11
4
Warumi 2:13
Kwa sababu sio waisikiao torati walio wenye haki mbele ya Mungu, bali ni wale waitendao torati watakaohesabiwa kuwa wenye haki.
Chunguza Warumi 2:13
5
Warumi 2:6
atakaemlipa killa mtu kwa kadiri ya matendo yake
Chunguza Warumi 2:6
6
Warumi 2:8
na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, hasira na ghadhabu
Chunguza Warumi 2:8
7
Warumi 2:5
bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu
Chunguza Warumi 2:5
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video