1
1 Wakorintho 9:25-26
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Na killa ashindanae hujiweza katika yote: bassi hao kusudi wapokee taji iharibikayo; bali sisi isiyoharibika. Hatta mimi napiga mbio vivyo hivyo, si kama asitae; napigana vivyo hivyo, si kama apigae hewa
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 9:25-26
2
1 Wakorintho 9:27
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwakhubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
Chunguza 1 Wakorintho 9:27
3
1 Wakorintho 9:24
Hamjui, ya kuwa washindanao kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeao tunzo ni mmoja? Pigeni mbio namna hiyo, illi mpate.
Chunguza 1 Wakorintho 9:24
4
1 Wakorintho 9:22
Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, illi niwapate wanyonge. Nalikuwa mtu wa hali zote kwa watu wote, illi nipate kuwaokoa watu kwa njia zote.
Chunguza 1 Wakorintho 9:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video