1
1 Wakorintho 14:33
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 14:33
2
1 Wakorintho 14:1
UFUATIENI upendo, katakeni sana karama za rohoni, lakini zaidi mpate kukhutubu.
Chunguza 1 Wakorintho 14:1
3
1 Wakorintho 14:3
Bali yeye akhutubuye, anena na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na kuwatia moyo.
Chunguza 1 Wakorintho 14:3
4
1 Wakorintho 14:4
Anenae kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali akhutubuye hulijenga Kanisa.
Chunguza 1 Wakorintho 14:4
5
1 Wakorintho 14:12
Vivyo hivyo na ninyi, kwa kuwa mnatamani sana kuwa watu wenye karama za roho, takeni mzidi sana kuwa nazo illi kulijenga Kanisa.
Chunguza 1 Wakorintho 14:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video