1
1 Wakorintho 1:27
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
bali Mungu aliyachagua mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena alivichagua vitu dhaifu vya dunia illi wenye nguvu waaibishwe
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 1:27
2
1 Wakorintho 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Chunguza 1 Wakorintho 1:18
3
1 Wakorintho 1:25
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wana Adamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wana Adamu.
Chunguza 1 Wakorintho 1:25
4
1 Wakorintho 1:9
Mungu ni mwaminifu, ambae mliitwa nae muingie katika ushirika wa Mwana wake, Yesu Kristo Bwana wetu.
Chunguza 1 Wakorintho 1:9
5
1 Wakorintho 1:10
Nawasihi ninyi, ndugu, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mnene nyote mamoja, pasiwe kwenu faraka, bali mwe mmekhitimu katika nia moja na shauri moja.
Chunguza 1 Wakorintho 1:10
6
1 Wakorintho 1:20
Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mleta hoja wa dunia bii? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia liii kuwa upumbavu?
Chunguza 1 Wakorintho 1:20
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video