1
Wimbo Ulio Bora 5:16
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, kwa ujumla anapendeza. Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu, naam, ndivyo alivyo rafiki yangu, enyi wanawake wa Yerusalemu.
Linganisha
Chunguza Wimbo Ulio Bora 5:16
2
Wimbo Ulio Bora 5:10
Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu, mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.
Chunguza Wimbo Ulio Bora 5:10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video