Wimbo Ulio Bora 5:16
Wimbo Ulio Bora 5:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, kwa ujumla anapendeza. Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu, naam, ndivyo alivyo rafiki yangu, enyi wanawake wa Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 5Wimbo Ulio Bora 5:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kinywa chake kimejaa maneno matamu, Ndiye mzuri sana kwa ujumla. Ni huyu mpendwa wangu, ni huyu rafiki yangu, Enyi binti za Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 5