1
Methali 15:1
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Kujibu kwa upole hutuliza hasira, lakini neno kali huchochea hasira.
Linganisha
Chunguza Methali 15:1
2
Methali 15:33
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni shule ya hekima; kabla ya kuheshimika ni lazima kuwa mnyenyekevu.
Chunguza Methali 15:33
3
Methali 15:4
Ulimi mpole ni chanzo cha uhai, lakini uovu wake huvunja moyo.
Chunguza Methali 15:4
4
Methali 15:22
Mipango huharibika kwa kukosa shauri, lakini kwa washauri wengi, hufaulu.
Chunguza Methali 15:22
5
Methali 15:13
Moyo wa furaha hungarisha uso, lakini uchungu huvunja moyo.
Chunguza Methali 15:13
6
Methali 15:3
Macho ya Mwenyezi-Mungu huona kila kitu, humchunguza mtu mwema na mtu mbaya.
Chunguza Methali 15:3
7
Methali 15:16
Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.
Chunguza Methali 15:16
8
Methali 15:18
Mtu wa hasira mbaya husababisha ugomvi, lakini asiye mwepesi wa hasira hutuliza ugomvi.
Chunguza Methali 15:18
9
Methali 15:28
Moyo wa mwadilifu hufikiri kabla ya kujibu, lakini kinywa cha mwovu hububujika uovu.
Chunguza Methali 15:28
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video