Methali 15:33
Methali 15:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni shule ya hekima; kabla ya kuheshimika ni lazima kuwa mnyenyekevu.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kumcha BWANA ni maonyo ya hekima; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.
Shirikisha
Soma Methali 15