1
Mathayo 27:46
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
SCLDC10
Mnamo saa tisa Yesu akalia kwa sauti kubwa, “Eli, Eli, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
Linganisha
Chunguza Mathayo 27:46
2
Mathayo 27:51-52
Hapo pazia la hekalu likapasuka vipande viwili, toka juu mpaka chini; nchi ikatetemeka; miamba ikapasuka; makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa
Chunguza Mathayo 27:51-52
3
Mathayo 27:50
Basi, Yesu akalia tena kwa sauti kubwa, akakata roho.
Chunguza Mathayo 27:50
4
Mathayo 27:54
Basi, jemadari na wale waliokuwa wakimlinda Yesu walipoona tetemeko la ardhi na yale mambo yaliyotukia, wakaogopa sana, wakasema, “Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.”
Chunguza Mathayo 27:54
5
Mathayo 27:45
Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, giza likaikumba nchi yote.
Chunguza Mathayo 27:45
6
Mathayo 27:22-23
Pilato akawauliza, “Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye Kristo?” Wote wakasema, “Asulubiwe!” Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”
Chunguza Mathayo 27:22-23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video