1
Mathayo 27:46
Neno
NEN
Ilipofika saa tisa, Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)
Linganisha
Chunguza Mathayo 27:46
2
Mathayo 27:51-52
Wakati huo huo pazia la Hekalu likachanika vipande viwili, kuanzia juu hadi chini. Dunia ikatetemeka na miamba ikapasuka. Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Chunguza Mathayo 27:51-52
3
Mathayo 27:50
Yesu alipolia tena kwa sauti kuu, akaitoa roho yake.
Chunguza Mathayo 27:50
4
Mathayo 27:54
Basi yule jemadari na wale waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu walipoona lile tetemeko na yale yote yaliyokuwa yametukia, waliogopa sana, wakapaza sauti na kusema, “Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”
Chunguza Mathayo 27:54
5
Mathayo 27:45
Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.
Chunguza Mathayo 27:45
6
Mathayo 27:22-23
Pilato akawaambia, “Basi nifanye nini na huyu Yesu aitwaye Kristo?” Wakajibu wote, “Msulubishe!” Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakazidi kupiga kelele, wakisema, “Msulubishe!”
Chunguza Mathayo 27:22-23