1
Yoshua 14:11
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Bado nina nguvu kama siku ile Musa aliponituma; nina nguvu za kwenda vitani sasa kama nilivyokuwa wakati ule.
Linganisha
Chunguza Yoshua 14:11
2
Yoshua 14:12
Basi nipe nchi hii ya vilima, ambayo BWANA aliniahidi siku ile. Wewe mwenyewe ulisikia wakati ule kwamba Waanaki walikuwa huko na miji yao ilikuwa mikubwa na yenye ngome, lakini, kwa msaada wa BWANA, nitawafukuza watoke huko kama vile alivyonena.”
Chunguza Yoshua 14:12
3
Yoshua 14:10
“Sasa basi, kama vile BWANA alivyoahidi, ameniweka hai kwa miaka arobaini na tano tangu alipomwambia Musa jambo hili, Waisraeli walipokuwa wanazunguka jangwani. Hivyo mimi hapa leo nina umri wa miaka themanini na tano!
Chunguza Yoshua 14:10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video