Yoshua 14:11
Yoshua 14:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata sasa mimi nina nguvu zangu hivi leo kama nilivyokuwa siku hiyo Musa aliyonituma; kama nguvu zangu zilivyokuwa wakati huo, na nguvu zangu ndivyo zilivyo sasa, kwa vita na kwa kwenda na kurudi.
Shirikisha
Soma Yoshua 14Yoshua 14:11 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Bado nina nguvu kama siku ile Musa aliponituma; nina nguvu za kwenda vitani sasa kama nilivyokuwa wakati ule.
Shirikisha
Soma Yoshua 14Yoshua 14:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini bado nina nguvu kama nilivyokuwa wakati ule Mose aliponituma. Hata sasa nina nguvu za kuweza kupigana vita au kufanya kazi nyingine yoyote.
Shirikisha
Soma Yoshua 14Yoshua 14:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Yoshua 14