1
Yeremia 14:22
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Je, kuna sanamu batili yoyote ya mataifa iwezayo kuleta mvua? Je, anga peke yake zinaweza kuleta mvua? La hasha! Ni wewe peke yako, Ee BWANA, Mungu wetu. Kwa hiyo tumaini letu liko kwako, kwa kuwa wewe ndiwe ufanyaye haya yote.
Linganisha
Chunguza Yeremia 14:22
2
Yeremia 14:7
Ingawa dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu, Ee BWANA, tenda jambo kwa ajili ya jina lako. Kwa kuwa kukengeuka kwetu ni kukubwa, nasi tumetenda dhambi dhidi yako.
Chunguza Yeremia 14:7
3
Yeremia 14:20-21
Ee BWANA, tunatambua uovu wetu na kosa la baba zetu; kweli tumetenda dhambi dhidi yako. Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa; usikidharau kiti chako cha enzi kilichotukuka. Kumbuka agano lako nasi na usilivunje.
Chunguza Yeremia 14:20-21
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video