Yeremia 14:22
Yeremia 14:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Je miungu ya uongo ya mataifa yaweza kuleta mvua? Au, je, mbingu zaweza kutoa manyunyu? Je, si wewe ee Mwenyezi-Mungu uliye Mungu wetu? Tunakuwekea wewe tumaini letu, maana wewe unayafanya haya yote.
Yeremia 14:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Katika vitu vya ubatili vya mataifa, kiko kitu kiwezacho kuleta mvua? Je! Mbingu zaweza kutoa manyunyu? Je! Si wewe, Ee BWANA, Mungu wetu? Kwa sababu hiyo tutakungoja; kwa kuwa wewe umevifanya vitu hivi vyote.
Yeremia 14:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Katika vitu vya ubatili vya mataifa, kiko kitu kiwezacho kuleta mvua? Je! Mbingu zaweza kutoa manyunyu? Je! Si wewe, Ee BWANA, Mungu wetu? Kwa sababu hiyo tutakungoja; kwa kuwa wewe umevifanya vitu hivi vyote.
Yeremia 14:22 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Je, kuna sanamu batili yoyote ya mataifa iwezayo kuleta mvua? Je, anga peke yake zinaweza kuleta mvua? La hasha! Ni wewe peke yako, Ee BWANA, Mungu wetu. Kwa hiyo tumaini letu liko kwako, kwa kuwa wewe ndiwe ufanyaye haya yote.