1
Isaya 14:12
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, ewe nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! Umetupwa chini duniani, wewe uliyepata kuangusha mataifa!
Linganisha
Chunguza Isaya 14:12
2
Isaya 14:13
Ulisema moyoni mwako, “Nitapanda juu hadi mbinguni, nitakiinua kiti changu cha utawala juu ya nyota za Mungu; nitaketi nimetawazwa juu ya mlima wa kusanyiko, kwenye vimo vya juu sana vya Mlima Mtakatifu.
Chunguza Isaya 14:13
3
Isaya 14:14
Nitapaa juu kupita mawingu, nitajifanya kama Yeye Aliye Juu Sana.”
Chunguza Isaya 14:14
4
Isaya 14:15
Lakini umeshushwa chini hadi Kuzimu, hadi kwenye vina vya shimo.
Chunguza Isaya 14:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video