Isaya 14:12
Isaya 14:12 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Tazama jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, ewe nyota ya asubuhi, mwana wa mapambazuko! Umetupwa chini duniani, wewe uliyepata kuangusha mataifa!
Shirikisha
Soma Isaya 14Isaya 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jinsi gani ulivyoporomoshwa toka mbinguni, wewe uliyekuwa nyota angavu ya alfajiri. Jinsi gani ulivyoangushwa chini, wewe uliyeyashinda mataifa!
Shirikisha
Soma Isaya 14Isaya 14:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
Shirikisha
Soma Isaya 14