Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 119:11

Kupokea Neno
Siku 4
Inaweza kuwa vigumu kujaribu kujitolea kusoma na kujifunza Neno. Katika mpango huu, Tony Evans anafundisha juu ya umuhimu wa kusoma na kulijua Neno ili tuweze kuliruhusu kuleta matokeo katika kila eneo la maisha yetu.

Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendelea
Siku 7
Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa ndani ya arusi yako: Kutafuta Mungu, Kupiganisha mapambano vizuri, Kua na furaha, kukaa safi, na usikate tamaa. Fanya arusi kama vile ulikua ukifikiria, kuanzia sasa — Kuanza leo na kuendelea.

Yesu Ananipenda
Siku 7
Ikiwa mtu angekuuliza, "Ninahitaji kuamini ipi ili niwe Mkristo?" ungemjibu vipi? Kwa kutumia maneno ya wimbo upendwao, "Yesu anipenda, kweli ninajua, kwani Biblia inasema”, mhubiri aliyekuwa mwanahabari anakusaidia kuelewa unachoamini na sababu. Mwandishi maarufu John S. Dickerson anafafanua imani za kimsingi za Kikristo kwa uwazi na uaminifu na kuashiria mbona imani hizi ni muhimu.