← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Law 27:30

Soma Biblia Kila Siku 06/2026
30 Siku
Karibu katika mpango huu wa Soma Biblia Kila Siku mwezi wa Juni. Utasoma kitabu cha 1 Wakorintho na Walawi. Utapata pia maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa na kutafakari Neno ulilosoma. Isipokuwa imeandikwa vinginevyo, nukuu zote za Biblia katika mpango huu zimechukuliwa kutoka katika Swahili Union Version (SUV).