← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 64

Tusome Biblia Pamoja ( Desemba)
Siku 31
Sehemu ya 12 katika mfululizo wenye sehemu 12, mpango huu unaziongoza jamii kupitia Biblia youte pamoja katika siku 365 Wakaribishe wengine kujumuika nawe kila mara unapoanza sehumu mpya kila mwezi. Mfululizo huu unaendana vyema na Biblia ya kusikiliza - sikiza kwa chini ya dakika 20 kwa siku. Kila sehemu inajumuisha sura kutoka agano la kale na agano jipya, pamoja na mgawanyiko wa Zaburi Sehemu ya 12 inavijumuisha vitabu vya Isaya, Mika, Petro wa Kwanza, Petro wa Pili, Yohana wa Kwanza, Yohana wa Pili, Yohana wa Tatu, Yohana na Yuda