← Mipango
Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ebr 2:1

Waliochaguliwa: Jikumbushe Kuhusu Injili Kila Siku
Siku 7
Kutatokea nini kama utaamka kila siku na kijikumbusha juu ya injili? Masomo haya ya siku 7 yanalenga kukukumbusha hilo! Injili si kwamba inatuokoa tuu, bali hutuimarisha pia katika maisha yetu yote. Mwandishi na Mwinjilisti Matt Brown ametayarisha mpango huu wa masomo ambayo yanapatikana katika kitabu chake cha masomo ya siku 30 kilichoandikwa na Matt Brown na Ryan Skoog.