1
Mathayo 21:22
Neno
NEN
Yoyote mtakayoyaomba mkisali na mkiamini, mtayapokea.”
Compară
Explorează Mathayo 21:22
2
Mathayo 21:21
Yesu akawajibu, “Amin, nawaambia, mkiwa na imani wala msiwe na shaka, si kwamba mtaweza kufanya tu yale yaliyofanyika kwa huu mtini, bali hata mkiuambia huu mlima, ‘Ngʼoka, ukatupwe baharini,’ litafanyika.
Explorează Mathayo 21:21
3
Mathayo 21:9
Wale umati wa watu waliomtangulia na wale waliomfuata wakapaza sauti na kusema, “Hosana, Mwana wa Daudi!” “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” “Hosana juu mbinguni!”
Explorează Mathayo 21:9
4
Mathayo 21:13
Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.”
Explorează Mathayo 21:13
5
Mathayo 21:5
“Mwambieni Binti Sayuni, ‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako, ni mpole, naye amepanda punda, juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’”
Explorează Mathayo 21:5
6
Mathayo 21:42
Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Bwana ndiye alitenda jambo hili, nalo ni la kushangaza machoni petu’?
Explorează Mathayo 21:42
7
Mathayo 21:43
“Kwa hiyo ninawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa watu wengine wawezao kuzaa matunda yake.
Explorează Mathayo 21:43