INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA SITAUkázka

YESU ATULIZA TUFANI
18 Yesu alipoona makutano mengi wamemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake wavuke mpaka ng'ambo.
23 Naye alipoingia kwenye chombo, wanafunzi wake wakamfuata.
Ghafula kukainuka dhoruba kali baharini hata chombo kikaanza kufunikwa na mawimbi,
lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.
Wanafunzi wake wakamwendea na kumwamsha, wakisema,
“Bwana, tuokoe! Tunazama!”
Naye Yesu akawaambia,
“Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?”
Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi,
"nako kukawa shwari kuu."
Wale watu wakashangaa, wakisema,
“Ni mtu wa namna gani huyu? Hata upepo na mawimbi vinamtii!”
Písmo
O tomto plánu

Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana
More
Podobné plány

Milost ve vašem příběhu

Radujme se

Sedmidenní vánoční rozjímání

Ester: Pro chvíli, jako je tato

Co je mým účelem? Nauč se milovat Boha a milovat druhé lidi

Porazit sebevědomí a úzkost

Svoboda

Zkus se modlit

Uvědomit si, že Bůh mě miluje
