Muhtasari: Marko

Kutoka Kwa BibleProject

Kivinjari hiki hakikubaliani na kipengee cha video.

Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Marko, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Marko anaonyesha kwamba Yesu ndiye masihi wa Israeli anayezindua ufalme wa Mungu kupitia mateso yake, kifo chake na kufufuka kwake.