Nimpazie Mungu sauti yangu, Naam, nimpazie Mungu, naye atanisikia. Siku ya taabu yangu nalimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, haukulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Zab 77:1-2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video