BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa. Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya nayo yote. Huihifadhi mifupa yake yote, Haukuvunjika hata mmoja.
Zab 34:18-20
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video