Walilia, naye BWANA akasikia, Akawaponya na taabu zao zote. BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa. Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya nayo yote.
Zab 34:17-19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video