BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu. Nitamwita BWANA astahiliye kusifiwa, Hivyo nitaokoka na adui zangu.
Zab 18:2-3
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video