Atawabariki wamchao BWANA, Wadogo kwa wakubwa. BWANA na awaongeze ninyi, Ninyi na watoto wenu. Na mbarikiwe ninyi na BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi. Mbingu ni mbingu za BWANA, Bali nchi amewapa wanadamu.
Zab 115:13-16
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video