Yeye aihifadhiye amri huihifadhi nafsi yake; Bali yeye asiyeziangalia njia zake atakufa. Amhurumiaye maskini humkopesha BWANA; Naye atamlipa kwa tendo lake jema.
Mit 19:16-17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video